Bakhili Noumaaaa...


Mambooo yalianzaaa hoviiii;
Bakhili alikua anakula kababu yeye na mkewe. Akasema
"natamani tungekua  mimi na wewe tu saa hii".
Mkewe akamwambia "mume wangu hembu angalia vzr hapa ni mimi na wewe tu kwani waona mtu mwengine!" Bakhili akamjibu "nilikua naongea na hizi kababu".
Si wewe 😂

Comments

Popular posts from this blog

Mfaza na wanae...