Ofisa mmoja wa trafiki alikuwa akikagua assignment za wanawe wawili. Aliangalia daftari la mkubwa na baada ya muda akaanza kumfokea kwa kufanya makosa ya kipuuzi. Baadae akachukua daftari la mdogo na kulifungua, bila kusema neno, akalirudisha na kuondoka. Yule mtoto mkubwa akamuuliza mdogo wake; "Ndo tuseme una akili kiasi hicho? Kwanini baba hajakufokea?!" Yule mdogo akasema: "Niliweka noti ya elfu kumi kwenye daftari langu! Wewe umesahau kwamba baba ni trafiki!"
Mambooo yalianzaaa hoviiii; Bakhili alikua anakula kababu yeye na mkewe. Akasema "natamani tungekua mimi na wewe tu saa hii". Mkewe akamwambia "mume wangu hembu angalia vzr hapa ni mimi na wewe tu kwani waona mtu mwengine!" Bakhili akamjibu "nilikua naongea na hizi kababu". Si wewe π
Comments
Post a Comment